Matangi ya Israel yalivuka mipaka katikati ya Gaza Jumatano kama sehemu ya operesheni inayolenga miundombinu ya Hamas.